Jiunge na Empower ili Kuongeza Faida ya Biashara Yako ya Kusindika
Empower inaunganisha wasindikaji wa plastiki kama wewe na wanunuzi na watengenezaji wa kimataifa. Kwa Kutumia teknolojia ya blockchain tunakusaidia kusajili na kuthibitisha plastiki unayokusanya na kusindika.
Empower’s Plastic Credits husaidia kupata chanzo cha ziada cha mapato kwa kuokota taka ya plastiki kutoka kwenye mazingira.
Kisha tunasaidia kukuunganisha na wanunuzi wa kimataifa ambao wanatafuta kununua plastiki uliyoisindika.
Kwa sababu plastiki imesajiliwa na imethibitishwa, wanunuzi wanaweza kulipa bei ya juu kwa tani.
Jinsi Empower Inavyoweza Kuipeleka Biashara Yako ya Kusindika Katika Hatua Inayofuata
Hesabu Faida Yako Kutoka kwa Plastic Credits
Plastic Credits hutengenezwa hapo hapo unapoandikisha plastiki iliyosindikwa kwenye akaunti yako ya Jukwaa la Empower
Jinsi Inavyofanya Kazi Katika Hatua 3 Rahisi
Wasiliana na timu yetu ya Usimamizi wa Akaunti
Kwa onyesho la kibinafsi na kuzungumza juu ya mahitaji yako ya ufuatiliaji wa plastiki zilizosindikwa na udhibitisho tafadhali omba mkutano na mmoja wa wahusika katika timu yetu. Tuna uzoefu kuanzia kwenye ukusanyaji na usambazaji kote ulimwenguni kuleta suluhisho za kidijiti ambazo hufanya shughuli zako ziwe rahisi kufuatilia na kupata faida zaidi.
EMPOWER AS
Org. No. 920 572 553
Haakon VII Gate 7
0161 Oslo, Norway
© Hakimiliki 2021 EMPOWER AS. Haki zote zimehifadhiwa |
For a personal demo and to talk about your needs for recyclable plastic tracking and certification please book a meeting with one of our team members. We have experience from collection and supply chains all over the world bringing digital solutions that make your operations both easier to monitor and more profitable.
Contact our Account
Management team