EMPOWER PLASTIC CREDITS
Ufumbuzi mzuri kwa biashara yako
Weka msimamo na leta mabadiliko yanayoonekana kwenye mazingira.
Empower plastic credits inasafisha ulimwengu wa taka za plastiki, inatengeneza ajira kwa waliotengwa na inasaidie kushirikisha wateja wako katika mtazamo mpya wenye nguvu.
Anza kufanya mabadiliko ya kweli dakika hii
Sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko ya kweli kwenye mazingira na biashara yako.
Ulimwengu unahama haraka. Wateja wako na wafanyikazi wanakusubiri uchukue hatua na uanze kutoa ahadi halisi za mazingira na mabadiliko yanayoweza kupimika.
Chapa yako
Wateja ni wa kisasa zaidi - wanaona kupitia mbinu za uhakika na wanataka matokeo halisi, yanayoonekana.
Uwekezaji
Mtaji kutoka kwa fedha za uwekezaji wa kimaadili unapita kwa wafanyabiashara ambao wana nia madhubuti ya kufanya mabaliko katika mazingira na kijamii.
Kipaji
Viwango vya juu vya fidia sio sababu kuu ya kufanya maamuzi. Vipaji vya juu vinahusika zaidi kuleta mabadiliko kuliko hapo awali.
Ushuru
Serikali ulimwenguni kote ziko katika mchakato wa kutekeleza ushuru unaozingatia mazingira na sera imara za ukuaji.
Empower Plastic Credits inafanya iwe rahisi kwako kufanya mabadiliko halisi, yanayoonekana ulimwenguni
Athari ya mazingira inayopimika
Pata muhtasari kamili wa athari yako
Nyaraka za picha
Uwazi kamili na unathibitishika
Anza kufanya mabadiliko ya kweli dakika hii
Kwa nini timu za uwajibikaji wa kijamii ndani ya nyumba haziwezi kufanya peke yake
Hakuna hatua ya mazingira inayofaa ambayo ni rahisi au ya moja kwa moja. Mashirika mengine hujaribu kuratibu mipango yao ya CSR kwa kushirikisha moja kwa moja na miradi midogo ulimwenguni.
Lakini kwa kawaida hukutana na vizuizi vingi.
Empower Plastic Credits inaweza kukusaidia kuongeza gharama ya uwajibikaji wako kwa jamii kwa asilimia 85%
Pata mabadiliko makubwa zaidi kwa $ iliyotumia
Tumejenga miundombinu ya teknolojia na watu wa kukusanya taka za plastiki.
Tunafanya hivi kwa kufanya ukusanyaji wa plastiki na kusindika iwe na faida kwa baadhi ya watu waliotengwa na watu masikini ulimwenguni.
Tumeanzisha suluhisho la kiteknolojia ili kujenga uaminifu na uwazi - kukomesha rushwa na mbinu chafu nyuma ya pazia.
Jinsi Empower inakusaidia kuleta utofauti
Kukuza uaminifu
Mara nyingi juhudi za mazingira huharibika kutokana na rushwa. Vikundi visivyo vyaaminifu hufaidika kwa kudai kusafisha eneo, lakini huishia kutupa plastiki mahali pengine - au kudanganya mchakato mzima.
Empower inashughulikia maswala haya moja kwa moja.
Tunashirikiana na wafanyikazi wa kubeba taka waliothibitishwa kwenye sehemu za kukusanya taka duniani kote.
Kila hatua katika mchakato huo inathibitishwa kikamilifu kwa nyaraka zisizoweza kuharibika.
Imethibitishwa kikamilifu
Kutoka kwa kukusanya plastiki kwenye chanzo kupitia mchakato wa kuchagua hadi kusindika kwake na baadaye kuungana tena kwenye mnyororo wa usambazaji - kila hatua ya mchakato huo inafuatiliwa kwa kutumia teknolojia ya blockchain .
Kutumia blockchain inamaanisha data haiwezi kubadilishwa na sisi au kiunga chochote kingine ndani ya mnyororo.
Blockchain imewezesha ufuatiliaji
Tuko wazi kabisa na wazi kuhusu pesa zako zinaenda wapi.
100% ya pesa huenda moja kwa moja kwa wachukuaji taka na wasindikaji ambao hutengeneza plastiki na kuidhamini. 0% huenda kwa E,power. Gharama ni malipo ya mtu wa tatu wa usindikaji tu.
Gharama za wazi
Ni vizuri Kupata data inayoweza kuthibitishwa - lakini kwa Empower, kila kilo ya plastiki iliyokusanywa hubeba pia hadithi yake kamili.
Ikiwa credit uliyonunua imesaidia kusafisha ufukwe nchini cameruni, njia ya maji huko Laos au eneo la dampo huko Mumbai - unapata kuangalia jinsi pesa zako zimeleta mabadiliko katika mazingira - na watu ambao umewasaidia.
Hadithi nyuma ya kila credit
Øystein Johanssen
Mkurugenzi Mtendaji wa Fieldwork
"Wakati Empower ilipotupa hii changamoto, ilikuwa rahisi kukubali, wakati unachanganya mabadiliko na mawasiliano mazuri , ilienda moja kwa moja kwenye mioyo yetu, kwanini sisi."
Punguza uchafuzi wa plastiki na umasikini kwa Plastic Credits
Je! Plastic Credits imeundwaje?
Plastic Credits kimsingi hutengenezwa na wakusanyaji plastiki na kuandika kabisa mchakato na vifaa vilivyochukuliwa.
Wakusanya plastiki wa ndani
Safisha eneo na sajili plastiki kwa Empower. Plastic Credits imezaliwa!
1
Wakusanyaji
Kisha wanaweza kuuza plastic credits zao kwa uuzaji kwenye jukwaa ya Empower.
2
Ukaguzi wa Empower
Kupitia nyaraka kamili zilizotolewa kuidhinisha credit.
3
The plastic credit
Inalingana na mnunuzi kama wewe na uuzaji unafanyika.
4
Mnunuzi analipa
Credit kupitia Empower na kupokea cheti na nyaraka kamili.
5
Empower hupunguza
Kiasi kidogo, kabla ya kuhamisha pesa zingine kwa wakusanyaji.
6
Jisajili kwa ajiri ya plastic credit
Ikiwa unataka kujisajili kwa ununuzi wa credit kila mwezi – au mara moja tu - inachukua dakika chache tu.
Taka ya Plastiki huchukuliwa
Kikundi cha wakusanyaji taka watakusanya na kupanga plastiki kwa ajiri ya kusindika tena. Teknolojia ya blockchain inahakikisha uwajibikaji kwa kila sehemu ya mchakato.
Onesha thamani yako
Tunatoa picha, hadithi na cheti kuonyesha faida yako.
Onyesha wateja wako na wafanyikazi kwamba unachukua hatua kuiboresha dunia.
1
2
3
Unawezaje kushiriki?
Mara moja
Agizo la plastic credit kwa wakati mmoja
$300
600kg
Hiyo inaweza saidia kumaliza
Za uchafuzi wa plastiki
Cheti kinachohakikisha jitihada zako
Kinafuatiliwa kikamilifu na kinathibitishwa
Picha na hadithi zenye nguvu za kuonesha na mchango wako
Ufuatiliaji wa blockchain isiyoweza kuharibika - ufuatiliaji uliowezeshwa
Zalisha ajira kwa jamii ya watu duni
Mabadiliko makubwa
Wasiliana nasi kwa maagizo makubwa
Fanya mabadiliko kwa kiwango
Cheti kinachohakikisha jitihada zako
Kinafuatiliwa kikamilifu na kinathibitishwa
Picha na hadithi zenye nguvu za kuonesha na mchango wako
Ufuatiliaji wa blockchain isiyoweza kuharibika - ufuatiliaji uliowezeshwa
Zalisha ajira kwa jamii ya watu duni
Mkutano wa video kujadili mahitaji yako maalumu
Ghairi wakati wowote
Kwa mwezi
Agizo plastic credit la mara kwa mara
$200
400kg
Hiyo ingesaidia kusafisha
za uchafuzi wa plastiki kila mwezi
Cheti kinachohakikisha jitihada zako
Kinafuatiliwa kikamilifu na kinathibitishwa
Picha na hadithi zenye nguvu za kuonesha na mchango wako
Ufuatiliaji wa blockchain isiyoweza kuharibika - ufuatiliaji uliowezeshwa
Zalisha ajira kwa jamii ya watu duni
Ghairi wakati wowote
kwa mwezi
Maarufu sana
EMPOWER AS
Org. No. 920 572 553
Haakon VII Gate 7
0161 Oslo, Norway
© Hakimiliki 2021 EMPOWER AS. Haki zote zimehifadhiwa |
Anza kuleta utofauti wa kweli
One-time
One-time plastic credit order
$300
600kg
That would help clear over
of plastic pollution
Certificate guaranteeing your impact
Fully traceable and verifiable
Photos and powerful stories to communicate your contribution
Incorruptible blockchain-enabled tracking
Generates employment for the world’s underprivileged population
Large impact
Get in touch for larger orders
Make a considerable impact at scale
Certificate guaranteeing your impact
Fully traceable and verifiable
Photos and powerful stories to communicate your contribution
Incorruptible blockchain-enabled tracking
Generates employment for the world’s underprivileged population
Video meeting to discuss your specific needs
Cancel any time
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Plastic credits zinafanyaje kazi?
Unakusanya aina gani ya plastiki?
Plastiki hukusanywa wapi?
Ni nini hufanyika kwenye plastiki? Uwa inaishia wapi?
Unasafisha plastiki ngapi kwa $ 1?
Je! plastic credit yangu hutumika na kusambazwaje? Nani anapata nini?
Je! Unathibitishaje kuwa pesa zangu zinaenda kusafisha plastiki?
English
Français
Deutsch
Español
Indonesian
Swahili
Hindi